USALAMA WA BIDHAA HII UNATIA MASHAKA

 

Rejea kichwa cha habari hapo juu;nimejaribu kuchunguza tube nyingi za dawa ya meno inayoitwa Whitedent za ujazo mbalimbali nimegundua kuna tatizo kubwa la kuonyesha muda sahihi wa bidhaa hiyo kuendelea kuwepo sokoni na kufaa kwa matumizi(expiry date) nilichogundua ni kwamba ni vigumu kuona kwa usahihi katika hilo na ninaamini kinachofanyika ni makusudi;kwasababu,maandishi mengine yote yanasomeka isipokuwa hiyo expiry date huwezi kufanikiwa kuiona
Kimsingi expiry date ya bidhaa inatakiwa iandikwe mahali ambapo mtu anaweza kusoma kwa urahisi;cha ajabu tangu nianze kuziona hizi dawa sokoni hadi hivi leo sijawahi kufanikiwa kupata kwa urahisi hilo angalizo.Na kosa kubwa linalofanyika ni kwamba inagongwa chini ya tube yenyewe ambapo haionekani vizuri na huwezi kutambua tarakimu zilizoandikwa hapo.
Halafu na tbs mamlaka iliyopewa dhamana ya kuangalia ubora wa bidhaa hapa nchini imebariki bidhaa kama hii tutumie hata bila kujua expiry date!

Hivyo basi,watumiaji tunapaswa kuwa makini na bidhaa tunazotumia kwa kuangalia muda wa matumizi kwa kila bidhaa.

6 thoughts on “USALAMA WA BIDHAA HII UNATIA MASHAKA

 1. Hii inaonyesha jinsi gani tbs alivyo lala usingizi wa pono kabisa;yaani wameshindwa kushitukia kasoro kama hii hadi wateja ndiyo wanagundua uwepo wa mapungufu tena ambayo yanaweza pelekea kuathiri afya zao.
  Kuna haja ya kuvamia hizi taasisi tunapogundua kitu fulani hakiko sawa ili tuweze kuwaumbua wanapo toa maboko katika utendaji wao.

  Like

 2. Thanks for some other wonderful article. The place else could anyone get that type of info in such a perfect way of writing?
  I’ve a presentation next week, and I am at the look for such info.

  Like

 3. Its like you read my thoughts! You appear to understand a lot
  approximately this, like you wrote the guide in it or
  something. I think that you just can do with a few percent to drive
  the message home a little bit, but other than that, that is
  wonderful blog. An excellent read. I will certainly
  be back.

  Like

Acha maoni yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s