YAANI KILA MARA TUNASHIKWA VIBAYA/PABAYA HADI LINI?

YAANI KILA MARA TUNASHIKWA VIBAYA/PABAYA HADI LINI?

Je, kuna haja ya kuunda tume au wahusika wanajulikana?

Advertisements

1 Comment

  1. Mkuu,tatizo letu kubwa hatujitambui na mbaya zaidi viongozi wenyewe ndiyo hoi kabisa;na haswa wakikutana na hizo ngozi nyeupe ndiyo kabisaaaa!Yaani inakuwa ni sawa na mbuzi kamuona chatu vile.Hapo kila atakachoambiwa hewala bosi/bwana mkubwa hata kama ni mdogo kwake kiumri.Ila sema wewe mweusi mwenzie mtabishana unless umkamate pale ambapo sawa na za mwizi 40.
    Tukiweza kujitambua,tukajiamini katika mambo na kusimamia maauzi yetu;hapo hawataweza kutupeleka kama gari bovu.

    Like

Acha maoni yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s