HUU NI UMASKINI WA KUJITAKIA

HUU NI UMASKINI WA KUJITAKIA

UMASIKINI wa AKILI ndiyo UMASIKINI mbaya kuliko UMASIKINI wowote ule kwa binadamu
Wawekezaji walikuja na SHERATON kisha MOVENPICK kisha ROYAL PALM na hivi sasa SERENA.

Advertisements

2 Comments

  1. Huyo bwege(Kiongozi) aliyekaa hiyo seat ya nyuma;yeye mwenyewe amekwisha nunuliwa,kuna nini tena hapo?Zaidi ya kuanza kugawa vitu tu kwa hao wageni/mgeni bila hata kufikiria.
    Mkuu kama unaovyoona mwenyewe katika picha,tayari kasha kubali huyo don aamue/afanye anachotaka.Yaani kwa kifupi amekwisha geuzwa ndondocha tayari kuwasaliti watu wake na nchi yake masikini hapa duniani.Halafu akitoka hapo anaenda kusimama majukwaani anakuchongaaaa katika vitu ambavyo anajua kabisa hakuna kitakacho wanufaisha wapiga kura wake.
    Viongozi wetu wanahitaji maombi ili wabadilike maana wanafanya vitu kama mazingaombwe vile!

    Like

  2. Issue kubwa hapa ni kwamba,viongozi wetu ni wabinafsi.Kiongozi yuko tayari kuendekeza 10/20% kwaajili yake na watu wanaomzunguka huku akihalalisha TZ kufanywa ni shamba la bibi kila mtu anajichukulia kilichopo na kulala mbele bila hata kuwa questioned!

    Like

Acha maoni yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s