NAFIKIRI TUNAELEKEA HUKU HIVI SASA KATIKA JIJI LA DSM

NAFIKIRI TUNAELEKEA HUKU HIVI SASA KATIKA JIJI LA DSM

Ila lini tutafikia hapo;binafsi,sina jibu hadi sasa.Naona tu barabara ya Morogoro na Kawawa zikichimbwa na kumwagwa zege nakadhalika,nadhani hii ndiyo picha yenyewe!

Advertisements