MADHARA YA KAULI YA KIKWETE ALIPOKUWA AKIINGIA IKULU

Moja ya mikakati aliyotangaza Kikwete baada ya kuingia Ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ametutoa kutoka mchele kilo 01 Tshs 800/= hadi 2500/=, nyama kilo 01 Tshs 2500/= hadi 6000/=, kiberiti Tshs 20/= hadi 150/=, sembe Tshs 250/= hadi 1200/=, kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu, nauli ya daladala kutoka Tshs 150/= hadi 300/=, migomo ya vyuo vya elimu ya juu, walimu hadi madaktari, chaguzi za CCM bila rushwa hadi kutawaliwa na rushwa ile mbaya, kutoka kundi 01 ndani ya CCM hadi makundi 04 yanayopingana  hivi sasa. Hii ndiyo CCM na magamba yao, kwa uchache haya na mengineyo ndiyo yana tuweka hapa tulipo na kuendelea kulitafuna Taifa; unaweza kuongeza mengine ya kweli na ukawatumia watanzania wenzako ndani na nje ya nchi ili waweze kujipanga ili kuweza kuikomboa nchi yao ifikapo 2015

Advertisements

1 Comment

  1. Yaani hii TZ, sijui ni lini tutakuja furahia utajiri wetu!Maana kila wakati vitu/huduma zinapanda bei tena kiholela tu.Na serikali ipo inaona watu wanavyo umia na ugumu wa maisha.Kwa mfano wa hivi karibu kutoka analogia kwenda digitali kwa matangazo ya tv;TCRA kama sehemu ya govt imesema dekoda sitauzwa kwa bei nafuu ya Tshs 39,000/= lakini wapi,dekoda inauzwa Tshs 160,000/= na matangazo yanatolewa kwenye vyombo vya habari.Hii ni aibu,inaonyesha ni jinsi gani govt haijali watu wake walio wengi na walio na kipato cha chini/maskini.

    Like

Acha maoni yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s