KWA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO NCHINI TANZANIA

Kwa yeyote mwenye malalamiko au kero zinazohusiana na huduma za mawasiliano hapa nchini Tanzania; fika/peleka kero au malalamiko yako kwa njia hizi:

1.Baruapepe: info@tcra-ccc.go.tz

2.Fika mwenyewe makao makuu ya NSSF(Nyerere Pension Tower) makutano ya barabara ya Bibititi Mohammed na Morogoro.

Na siyo kulalamika mitaani, ambapo hakutakusaidia zaidi ya kuishia kukasirika tu. Ni vizuri ukatumia njia hizo hapo juu kupeleka yanayokukera/kukukwaza kuhusu huduma za mawasiliano.

Advertisements

3 Comments

  1. Sijui kama hao wahusika watakuwa ni sharp katika utendaji!Isije ikawa ni watu kupeana ulaji tu.
    Anyway,kuna mtu yeyote ambaye anaweza toa ushuhuda?Ili kujua kama kazi inatendeka ama laah.

    Like

  2. Mmmmhhhhh!Kuna watu wengine ama ndiyo walewale wa siku zote?Maana watanzania kwa kulindana hasa watu wakiwa makazini/ofcn;sijui kama itasaidia.Tusubiri tuone kama kutatokea mabadiliko.

    Like

Acha maoni yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s